Rais Samia Suluhu Hassan amehimiza wazazi na walezi kuhakikisha kuwa watoto wanalelewa katika mazingira ya heshima, amani na upendo ili kuijenga jamii yenye maadili bora. Akizungumza wakati akishiriki katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur’aan yaliyofanyika jijini Dar es Salaam leo, amesisitiza umuhimu wa kuendeleza familia na maadili ya nchi, akibainisha kuwa familia yenye misingi imara... Read More