NA WILLIUM PAUL, SAME. MKUU wa wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro, Kasilda Mgeni amelazimika kufunga Jengo lililokuwa likitumika kama nyumba ya ibada maarufu “KANISA LA NABII ELIA MSANGI” baada ya kupata taarifa za kuwepo kwa kanisa hilo linaloendeshwa kinyume na taratibu za sheria ya Nchi lakini pia kudaiwa kuwepo vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia, na... Read More