Na mwandishi wetu,Dodoma. SERIKALI imefanikiwa kuwekeza zaidi ya shs bilioni 294.96 kwenye miradi 46 ya kimkakati katika Serikali za Mitaa tangu mwaka wa fedha wa 2017/18, huku miradi 26 ikiwa tayari imekamilika, imeelezwa. Hayo yalisemwa jijini Dodoma leo na Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Bwana Adolf Ndunguru... Read More