Na MWANDISHI WETU WADAU wa Utalii katika Hifadhi ya Taifa Serengeti wameiomba Serikali kupatia suluhisho la kudumu la ujenzi wa barabara katika Hifadhi za Taifa hususani barabara ya Serengeti Akizungumza leo na waandishi wa habari ambao wametembelea eneo hilo, Mkurugenzi wa Kampuni ya Utalii ya Wolway Trekking Tanzania Limited, John Macha alipongeza hatua zinazochukuliwa na... Read More
Ili kuimarisha harakati za uwekezaji katika mifumo ya usalama katika familia ni muhimu kukawepo na ushirikiano katika malezi ya watoto na kwa kufanya hivyo changamoto ya mmomonyoko wa maadili katika jamii hautakuwepo. Hayo yamesemwa leo Septemba 04, 2024 katika Semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS) ambazo hufanyika kila Jumatano ofisi za Mtandao wa Jinsia Tanzania... Read More
Na Mwandishi Wetu, Michuzi Tv WATU wanaoishi na Virusi vya Ukimwi wametakiwa kufuata maelekezo ya daktari wanapotumia dawa za kufubaza virusi hivyo ili kuepukana na tatizo la usugu wa vimelea kwenye dawa hizo. Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMRI) Profesa Said Abood ameyasema hayo leo Septemba, 4, 2024... Read More
NA WILLIUM PAUL, SAME. OFISI ya Mkuu wa Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro imetoa vyeti vya pongezi kwa Taasisi ambazo zimefanya vizuri kwenye ukusanyaji wa Mapato Wilayani humo,. Taasisi hizo ni Mamla ya Mapato Tanzania (TRA), Wakala wa huduma za Misitu Tanzania (TFS) na Hifadhi ya Taifa ya Mkomazi. Moja ya Taasisi iliyofanya vizuri zaidi... Read More
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Felister Mdemu amefungua mafunzo ya siku mbili kuwajengea uwezo Wasajili Wasaidizi wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikari kwa ngazi ya Mikoa na Halmashauri zote Tanzania bara Septemba 4, 2024 jijini Dodoma. Akifungua mafunzo hayo, yaliyoandaliwa na Wizara kupitia Ofisi ya Msajili wa NGOs... Read More
NA EMMANUEL MBATILO, DODOMA WANAWAKE Viongozi na Vijana wanasiasa wametakiwa kuwa sehemu ya kupunguza hatari za makosa yanayoweza kusababishwa na utumiaji wa mitandao kwa kuhakikisha wanazingatia sheria na miongozo iliyowekwa na Serikali ili umoja, utengamano na staha za watu ziweze kutunzwa na hiyo ni pamoja na taarifa zao binafsi. Wito huo umetolewa leo Septemba 4,2024... Read More
KIGOMA: Police in Kigoma Region have arrested Ramadhani Shaban, 21, for allegedly staging his own kidnapping in an attempt to extort ransom money from his relatives. According to Kigoma Regional Police Commander Philemon Makungu, the resident of Buronge, Kigoma Ujiji Municipality, falsely claimed to have been abducted, demanding that his relatives pay 2.5m/- for his... Read More
Winga wa Liverpool, Luis Diaz anaripotiwa kuwa katika mpango wa kuongezea mkataba na Reds huku kukiwa na tetesi za kuhusishwa na Barcelona. Kijana mwenye umri wa miaka 27, amekuwa akihusishwa na kuhamia kwa wababe hao wa La Liga na PSG, anatazamiwa kuwa kubwa nyongeza ya mshahara wake huku Reds wakilenga kumbakisha winga huyo nyota ya... Read More