Na Sophia Kingimali Kutokana na mazingira wezeshi ya uwekezaji yanayotekelezwa nchini, Serikali imezitaka taasisi za umma kuacha kufanya kazi kwa mazoea na badala yake kujiendesha kibiashara ili kuchangia ukuaji wa uchumi. Akizungumza leo, Oktoba 25, 2024, wakati wa ufunguzi wa mkutano wa pili wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) na wadau wake... Read More