Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania October 2, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya. The post Habari kubwa Magazetini Kenya leo October 2, 2024 first appeared on Millard Ayo.
Na.Mwandishi Wetu -Arusha Kituo cha kuhudumia Wazee cha Meru Elderly Iniativies kilichopo chini ya kanisa la International Evangelism,Shirika la Dorcas Tanzania kwa Kushirikiana na Chama cha waandishi wa habari wanawake mkoa wa Arusha (AWM) wameandaa kongamano maalum la kuadhimisha siku hiyo kwa kuwakutanisha wazee katoka maeneo mbali mbali na kusherehekea siku ya Wazee Duniani. Kongamano... Read More
Afisa Mtendaji Mkuu wa WazoHuru Media Ndg Mathias Canal amechangia jumla ya Shilingi Milioni 5 kwa ajili ya kutatua changamoto mbalimbali zinazoikabili shule ya Msingi Tutu iliyopo katika Kata ya New Kiomboi, Wilayani Iramba katika mkoa wa Singida. Akizungumza wakati wa Mahafali ya 70 ya shule hiyo iliyofanyika tarehe 1 Octoba 2024, Mathias Canal ametaja... Read More
Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, Mhe. Ester Mahame, ametembelea kambi ya matibabu inayotolewa na Madaktari Bingwa na Bobezi wa Rais Samia Suluhu Hassan katika hospitali ya wilaya ya Vwawa kwa lengo la kujionea hali ya utoaji huduma pamoja na kuonge na kuwafariji wagonjwa waliojitokeza kupatiwa matibabu katika kambi hiyo, ambayo itakaa mkoani Songwe kwa siku... Read More
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 2, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania. The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo October 2, 2024 first appeared on Millard Ayo.
*Tunatambua mchango wa Sekta binafsi katika Sekta ya Afya. Na WAF – Zanzibar Serikali kupitia Wizara ya Afya imejipanga kuendelea kuwekeza katika Vifaa, Vifaa Tiba, Dawa pamoja na kutoa huduma kwa kushirikiana kwa karibu na Sekta Binafsi ili wananchi wapate huduma iliyo bora na salama. Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amesema hayo leo Oktoba... Read More
Mkuu wa Wilaya ya Nyamaga Amina Makilagi akipanda mti kwenye eneo la chanzo Cha maji Butimba Baadhi ya wanafunzi wa Chuo cha Ualimu Butimba wakishiriki zoezi la upandaji wa miti katika chanzo cha maji Butimba kilichopo Wilaya ya Nyamagana Mkoani. Mwanza. Mwanamuziki kutoka Mwanza H- Baba akipanda mti kwenye chanzo cha maji Butimba …………. Na... Read More