-Awataka kushindana kwa hoja, akiwakabidhi jukumu zito Serikali za Mitaa -Asema “CCM itawashinda kwa namna ambavyo hawajawahi kushindwa” Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametoa wito kwa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) pamoja na jumuiya nyingine za chama hicho kuendelea kushindana kwa hoja na kuwa mfano bora wanapojadili... Read More