Ashrack Miraji, Fullshangwe Media – Tanga Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Jafari Kubecha, amewahimiza vijana kuwa wazalendo ili kumuenzi Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, kwa kudumisha demokrasia na kushiriki kikamilifu katika chaguzi mbalimbali, zikiwemo za mitaa, vijiji na vitongoji. Akizungumza katika maadhimisho ya miaka 25 tangu kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu... Read More