Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe. Daniel Chongolo ameishukuru Serikali ya Awamu ya Sita, inayoongozwa na Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa shilingi bilioni 10 kwa ajili ya kutekeleza Mradi wa Kusambaza Umeme kwenye Vitongoji (HAMLET ELECTRIFICATION PROJECT) kwenye vitongoji 90 vya majimbo sita (6) ya mkoa wa Songwe ambapo kaya 2,700 zitanufaika. Akizungumza... Read More