Mwakilishi kampuni ya tuzo za chapa bora Afrika.(Best Brand Awards Africa’) nchini, Zakayo Shushu akimkabidhi tuzo mwanamitindo Hamisa Mobeto wakati wa tuzo zilizofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. KAMPUNI na taasisi 100 zapata tuzo ya kutambuliwa kama chapa bora iliyojulikana kama best Brands Awads katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam... Read More