Dkt. Tausi Kida, Katibu Mkuu Wizara ya Mipango na Uwekezaji akizungumza wakati akifungua mafunzo ya siku tatu ya watendaji wa Taasisi za Umma katika chuo cha uongozi wilayani Kibaha, mkoani Pwani Jumatatu (Oktoba 7, 2024) Msajili wa Hazina, Bw. Nehemiah Mchechu akizungumza katika ufunguzi wa mafunzo hayo kwa watendaji wakuu wa Taasisi za Umma mjini... Read More