Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha akizungumza wakati wa Uzinduzi wa Zoezi la Uandikishaji wa Daftari la Wapiga Kura Serikali za Mitaa 2024 Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha amewataka Wakazi wa Shinyanga kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika Daftari la Wapiga Kura Serikali... Read More