Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Alhaj Dkt Abubakar Zubeiry bin Ali amehimiza wananchi nchini kote kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika Daftari la Wapiga Kura la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ili waweze kutimiza haki yao kikatiba ya kuwachagua viongozi wanaowataka wa Serikali za Mitaa katika maeneo wanapoishi. Mufti na Sheikh Mkuu ametoa wito huo... Read More