Na. Asila Twaha, OR – TAMISEMI Afisa Wanyama Pori Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Bi.Hawa Mwechaga ametoa wito kwa wadau wa maendeleo kuendelea kushirikiana na Serikali katika kutoa elimu juu ya masuala ya mabadiliko ya tabia nchi nchini. Amesema mabadiliko hayo husababishwa na nguvu za asili na shughuli za... Read More