RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Waziri wa Kilimo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Dr.Gholamreza Nouri (kulia kwa Rais wa Pili ) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 18-10-2024, akiwa na ujumbe wake.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti... Read More