NA WILLIUM PAUL, HAI. WATU 14 wamefariki Dunia na wengine kujeruhiwa baada ya gari aina ya Costa walilokuwa wakisafiria kutoka Moshi kwenda Arusha kugongana na lori la mizigo eneo la mto kikavu wilayani Hai mkoani Kilimanjaro. Akithibitisha kutokea kwa ajali hiyo, Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na... Read More