Wataalamu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwenye picha ya pamoja baada ya kufanya upasuaji wa kurekebisha valve kwa njia ya tundu dogo ujulikanao kama TAVr. ……………. Mgonjwa aliyekuwa akisumbuliwa na mishipa ya moyo na damu kuziba afanyiwa upasuaji wa tundu dogo kwa njia ya mtandao na wataalamu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete... Read More