Na: Fortunatus Charles Kasomfi, Gaborone, Botswana. Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Mizengo Kayanza Peter Pinda, ameipongeza Jumuiya ya maendeleo nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), kwa hatua muhimu iliyofikiwa katika kumairishwa kwa Demokrasia, Amani, Ulinzi, Usalama na Maendeleo kwa Nchi za Jumuiya hiyo. Akiungumza na Waandishi wa Habari baada ya kuwasili Jijini Gaborone Nchini Botswana, kutekeleza... Read More