NA WILLIUM PAUL, SAME. WAZEE wilayani Same wametakiwa kukemea vijana wao kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa kujiepusha na vitendo vya kupokea au kutoa rushwa kushinikiza wagombea ili wawachague na badala yake washiriki kikamirifu kuchagua viongozi bora na waadilifu watakao simamia vyema fedha za miradi ya maendeleo zinazoletwa na Rais Dkt. Samia kwa wananchi wake.... Read More