Na Khadija Kalili Michuzi Tv KAMATI ya Olimpiki Tanzania (TOC) imeipongeza nchi ya Uturuki kwa kuwapatia Mkufunzi aliyetoa mafunzo kwa walimu wa mchezo wa Judo nchini. Makamu wa Rais (TOC) Henry Tandau amesema hayo wakati akifunga mafunzo ya walimu wa mchezo huo yaliyofanyika kwenye shule ya Filbert Bayi. Tandau amesema kuwa mafunzo hayo yameendeshwa... Read More