Mbunge wa Vitimaalum kupitia kundi la Wanawake (UWT) Mkoa wa Arusha Mheshimiwa Zaytun Swai ameanza ziara yake ya siku tatu wilayani Monduli yenye lengo la kusikiliza na kutatua changamoto mbalimbali zinazowakabili wananchi wilayani humo. Akiwa Katika ziara hiyo ametembelea Kituo cha Afya Nafco kilichopo Kata ya Lolkisare wilayani humo ambapo moja ya changamoto zilizobainishwa... Read More