Mwenyekiti wa chama cha wachimbaji wadogo wa dhahabu wilaya ya Igunga, Peter Mashili akizungumza na wazazi pamoja na walezi juu ya kutowatumikisha watoto kipindi hiki wanachosubiri matokea ya darasa la saba . Mwalimu mkuu washule ya Msingi Maendeleo ,Angelina Deogratias akipokea fedha kiasi cha shilingi milion 2.150,000 kwa ajili ya kununulia mashine ya kudurufu... Read More