Jeshi la Israel limeanzisha operesheni kubwa katika miji minne ya Ukingo wa magharibi mapema leo hii, huku likiendelea na vita vyake vya miezi kumi dhidi ya Gaza. Hali ya ghasia imeongezeka katika Ukingo wa Magharibi kutokana na mzozo ulioanzishwa na mashambulizi ya Hamas dhidi ya Israel mnamo Oktoba 7. Vita hivyo vimepoteza zaidi ya watu... Read More