Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Kata ya Likola, Wilaya ya Namtumbo, aliposimama eneo hilo kwa ajili ya kuwasalimia, leo asubuhi tarehe 26 Septemba 2024, alipokuwa njiani kuelekea Tunduru, ikiwa ni sehemu ya mwendelezo wa ziara yake katika... Read More