Na Mwandishi Wetu-DODOMA Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi ametoa wito kwa wadau wa ufuatiliaji na tathmini nchini kushiriki Kongamano la Tatu la Wiki ya Ufuatiliaji, Tathimini na Kujifunza linalotarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 17 hadi 20 Septemba, 2024, Zanzibar. Dkt. Yonazi amesema hayo wakati wa mahojiano maalumu yaliyofanyika... Read More