Na Oscar Nkembo Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Thomas Lutachunzibwa amewataka wataalamu wa Afya kufanya kazi kwa bidii kwa kuzingatia kiapo cha Taaluma bila kuweka mbele maslahi kwani kiapo cha taaluma hiyo ni maagano na Mwenyezi Mungu. Dkt. Lutachunzibwa ameyasema hayo leo wakati akifunga mafunzo ya siku mbili ya kudhibiti matukio ya Sumu... Read More