MWENYEKITI wa Kamati ya Kudumu ya Bunge Maji na Mazingira Jackson Kiswaga katika akiteta jambo na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Balozi Batilda Burian wakati wa ziara ya Kamati hiyo katika chanzo cha Maji Mabayani Jijini Tanga wa pili kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Tanga Uwasa Dkt Ally Fungo MKURUGENZI wa... Read More
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania September 14, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya. The post Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 14, 2024 first appeared on Millard Ayo.
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam September 14, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania. The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 14, 2024 first appeared on Millard Ayo.
KUPITIA Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Chuo Cha Taifa Cha Usafirishaji (NIT) inatekeleza mradi wa EASTRIP (East Africa Skills for Transformation and Regional Integration Project) ambao ujenzi wake uko mbioni kukamilika unadhamiria kuimarisha ustadi wa kiufundi na kitaaluma ili kuchochea maendeleo ya viwanda na mabadiliko ya uchumi katika nchi husika. Mradi wa EASTRIP ni... Read More
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson amehitisha rasmi Mkutano wa 10 wa Wabunge Vijana wa IPU uliofanyika Jijini Yerevan nchini Armenia leo tarehe 13 Septemba, 2024. Dkt Tulia ameeleza umuhimu wa ushirikishwaji wa Vijana katika nyanja zote za maamuzi hususani... Read More
Na Joel Magese, Mwanza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inaendelea kutoa huduma kwenye sekta ya Ardhi kwa Watanzania katika maeneo mbalimbali nchini kuhakikisha kila kipande cha ardhi kinapangwa, kinapimwa na kumilikishwa. Akikabidhi Hati Miliki za ardhi kwa wananchi wa Kata ya Pansiansi Mkoani Mwanza Septemba 13, 2024, Kamishna wa Ardhi Msaidizi mkoani... Read More
*Waitaja Tanzania kuwa mfano wa kuigwa Dodoma Katika jitihada za kuimarisha Sekta ya Madini nchini Malawi, Ujumbe wa Jamhuri ya Malawi pamoja na Sekretarieti ya Mamlaka ya Usimamizi wa Uchimbaji na Madini nchini humo (MMRA) umefanya ziara rasmi nchini Tanzania kwa lengo la kujifunza kutoka kwa Shirika la Madini la Taifa la Tanzania (STAMICO) ili... Read More
NAIBU Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo anayeshughulikia Ushirika na Umwagiliaji, Dkt. Suleiman Serera, ameeleza kuwa, Serikali inaitaji kuona Ushirika wa kisasa ambao unafuata mifumo ya kidigiti na kuzingatia taratibu na miongozo ya uendeshaji Ili kuwainua Wakulima. Ameeleza kuwa, kukiwa na Ushirika wa kisasa wakulima watapata huduma kwa haraka mahala walipo ikiwa ni pamoja... Read More