Na Sophia Kingimali. Bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu nchini,HESLB Leo imebadilishana hati za ushirikiano baina yake na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA),ikiwa ni muendelezo wa kuboresha huduma zake kuwafikia wanufaika wa mikopo hiyo. Akizungumza katika hafla fupi ya kubadilishana hati za ushirikiano Kati ya bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu... Read More