Morocco imethibitisha kisa cha mpox kwa mtu mmoja katika jiji la Marrakech, wizara ya afya ilisema. Haya ni maambukizi ya kwanza tangu mlipuko wa sasa kutangazwa kuwa dharura ya afya ya umma yenye kutia wasiwasi kimataifa na Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) mwezi uliopita. Tangazo hilo lilitolewa katika kukabiliana na kuenea kwa haraka kwa virusi... Read More