BODI ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) imehitimisha mafunzo kwa wataalam kutoka vyuo na taasisi wanaohusika kutunga na kusahihisha mitihani ya Bodi ili kuhakikisha viwango vipya vya mabadiliko ya mtaala vinafuatwa. Akizungumza wakati wa kufunga mafunzo hayo ya siku mbili Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa... Read More