– Ni kwenye madini, mafuta na gesi – Waziri Mavunde aelekeza uchunguzi wa tofauti ya Milioni 402 – Kamati ya Bunge yapongeza uwazi wa serikali kutoa taarifa Mwandishi Wetu SERIKALI imepata jumla ya shilingi Trilion 1.877 kutoka kwenye kampuni 44 zilizolinganishwa katika sekta ya madini, mafuta na gesi ikiwa na tofauti ya kati ya malipo... Read More