Na Mwamvua Mwinyi,Kibaha WIZARA ya fedha imetoa rai kwa Watanzania hususan makundi ya akinamama na wajasiriamali kujiepusha na mikopo ya udhalilishaji isiyo rasmi na badala yake watumie Taasisi zilizosajiliwa na kutambulika ili kulinda fedha zao. Aidha imekemea Taasisi zinazotoa huduma za mikopo ambazo hazijasajiliwa kufuata sheria za usajili na kupata leseni ili kuondoa migongano... Read More