Naitwa Jeska. Katika ujana wangu, nilijikuta kwenye njia panda ambayo, hadi leo, imeniweka kwenye mazingira magumu lakini pia imenipa funzo kubwa kwamba tiba za asili ni muhimu kwa sisi Waafrika. Miaka minne iliyopita, nilikutana na kijana mmoja kutoka familia ya kitajiri. Tulipendana sana, na baada ya muda nikapata ujauzito wake. Hata hivyo, nilikuja kugundua kuwa... Read More