Balozi wa Tanzania nchini Comoro,Saidi Yakubu amekutana na Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Usafiri Baharini (ANAM),Ndugu Mohamed Dahalani ambapo wamejadiliana maeneo kadhaa ya kufanyia kazi ili kuboresha usimamizi wa sekta ya usafirishaji kwa njia ya bahari baina ya nchi hizo mbili. Ndugu Dahalani alimueleza Balozi Yakubu kuwa ANAM inakusudia kufanya kazi kwa karibu na mamlaka... Read More