KATIBU Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Bw. Gerald Mweli ameshiriki katika Mkutano wa 138 wa Baraza la Kahawa Duniani (International Coffee Council) unaofanyika jijini London kuanzia tarehe 10-12 Septemba 2024. Katika mkutano huo, Viongozi wa nchi mbalimbali wanajadili masuala yanayolenga kuboresha tasnia ya kahawa kimataifa, ikiwemo mikakati ya kukabiliana na changamoto zinazokabili tasnia hiyo. Aidha,... Read More