Idadi ya wagonjwa wa homa ya nyani nchini nchini Afrika Kusini imeongezeka hadi 25, hii ni kufuatia uthibitisho wa kisa kingine kimoja katika Jimbo la Cape ya Magharibi mwishoni mwa juma. Wizara ya Afya ilisema mgonjwa huyo ambaye kwa sasa yuko nyumbani akijitenga hakuwa na historia ya hivi karibuni ya kusafiri kimataifa au kuwasiliana na... Read More