Jeshi la Israeli limewaua Wapalestina 40 na kuwajeruhi wengine 60 katika mashambulizi ya anga kwenye kambi ya hema huko Khan Younis kusini mwa Gaza, madaktari walisema. Afisa wa ulinzi wa raia wa Gaza ameliambia shirika la habari la AFP mapema Jumanne kwamba “mashahidi 40 na majeruhi 60 walipatikana na kuhamishiwa” katika hospitali za karibu kufuatia... Read More