Picha ya pamoja ya Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi EWURA, Prof. Mark Mwandosya (waliokaa katikati) na wajumbe wa Kamati ya Tathmini ya Utendaji, Usimamizi na Matokeo ya udhibiti wa huduma za umeme kutoka nchi za Uganda, Namibia, Afrika Kusini, Ghana na Kenya, baada ya kikao kilichofanyika tarehe 9 jijini Dar es Salaam. Tathmini hiyo... Read More