Bei ya Chanjo ya mpox inayozalishwa na Bavarian Nordic huenda ikawa changamoto kubwa katika mazungumzo ya kupata Dozi milioni kwa Bara la Afrika, huku kampuni hiyo ya Kidenmaki ikikabiliwa na shinikizo kubwa la kushusha bei yake. Dozi zaidi ya 200,000 zimewasili Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, lakini mazungumzo yanayoongozwa na mashirika kama UNICEF yanaendelea kwa... Read More