Ajali mbaya imetokea asubuhi ya leo hii katika mji wa Tai an, mkoa wa Shandong, mashariki mwa China, ambapo basi lililokuwa limebeba wanafunzi limepoteza mwelekeo na kugonga kundi la wanafunzi na wazazi waliokuwa wakisubiri kuingia shule. Polisi na vyombo vya habari vya serikali vimeripoti kuwa watu 11 wamepoteza maisha na wengine 13 wamejeruhiwa. Basi hilo,... Read More