Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt.Doto Biteko ametoa wito kwa Watanzania kuokoa maisha yao kwa kutumia Nishati Safi ya Kupikia ambayo itawaepusha na madhara yanayotokana na Nishati isiyo safi ikiwemo athari katika mfumo wa upumuaji. Dkt. Biteko ameyasema hayo leo, Septemba 8, 2024 jijini Dar es Salaam wakati wa Hafla ya Azimio... Read More