Shambulizi la kombora katika soko la Sennar kusini mashariki mwa Sudan liliua watu 21 na kujeruhi wengine 67 Jumapili, chanzo cha matibabu kimeiambia AFP, kikilaumu wanamgambo kuhusika na shambulizi hilo. Chama cha madaktari wa Sudan, ambacho kilianzishwa baada ya vita kuanza mwezi Aprili mwaka 2023 kimeripoti idadi hiyo hiyo ya vifo, lakini kimesema idadi ya... Read More