Wizara ya Afya ya Palestina katika Ukanda wa Gaza imetangaza kuwa, idadi ya waliouawa kwa mashambulizi ya utawala wa Israel dhidi ya eneo hilo imefikia 41,000. Kwa mujibu wa shirika la utangazaji la IRIB, Wizara ya Afya ya Ukanda wa Gaza imetangaza kuwa, idadi ya wahanga wa mashambulizi ya adui mzayuni Israel kwenye Ukanda wa... Read More