Uongozi wa Chama cha Soka Wilaya ya Morogoro (MDFA) umevunjwa kwa kukiuka taratibu za uchaguzi wakati wa kuchagua viongozi hao ambapo zoezi la uchaguzi ulifanyika pasipo mabadiliko ya katiba kuidhinishwa na msajili vya wa vyama vya michezo Taifa. Uongozi wa Chama cha Soka umevunjwa ukiwa umehudumu kwa kipindi cha miezi sita, tayari ukiwa umetekeleza majukum... Read More