Rais wa Urusi Vladimir Putin alisema Alhamisi, Septemba 5, alikuwa tayari kwa mazungumzo na Ukraine, baada ya hapo awali kukataa wazo la mazungumzo wakati mashambulizi ya Kyiv katika eneo la Kursk yakiendelea. Ukraine ilizindua uvamizi wa kuvuka mpaka ambao haujawahi kushuhudiwa katika eneo la Kursk nchini Urusi mwezi Agosti, na kutuma maelfu ya wanajeshi kuvuka... Read More