Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakari Kunenge akikabidhi cheti cha kuhitimu mafunzo kwa mmoja wa washiriki wa mafunzo ya mujibu wa sheria oparesheni miaka 60 ya Muungano Septemba 4,2024 yaliyofanyika kwenye Kikosi cha 832KJ,Ruvu kwenye Uwanja wa Mabatini Mlandizi . Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakari Kunenge akiwa katika picha ya pamoja na wahitimu wa... Read More
Na MWANDISHI WETU WADAU wa Utalii katika Hifadhi ya Taifa Serengeti wameiomba Serikali kupatia suluhisho la kudumu la ujenzi wa barabara katika Hifadhi za Taifa hususani barabara ya Serengeti Akizungumza leo na waandishi wa habari ambao wametembelea eneo hilo, Mkurugenzi wa Kampuni ya Utalii ya Wolway Trekking Tanzania Limited, John Macha alipongeza hatua zinazochukuliwa na... Read More
Ili kuimarisha harakati za uwekezaji katika mifumo ya usalama katika familia ni muhimu kukawepo na ushirikiano katika malezi ya watoto na kwa kufanya hivyo changamoto ya mmomonyoko wa maadili katika jamii hautakuwepo. Hayo yamesemwa leo Septemba 04, 2024 katika Semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS) ambazo hufanyika kila Jumatano ofisi za Mtandao wa Jinsia Tanzania... Read More
Na Mwandishi Wetu, Michuzi Tv WATU wanaoishi na Virusi vya Ukimwi wametakiwa kufuata maelekezo ya daktari wanapotumia dawa za kufubaza virusi hivyo ili kuepukana na tatizo la usugu wa vimelea kwenye dawa hizo. Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMRI) Profesa Said Abood ameyasema hayo leo Septemba, 4, 2024... Read More
NA WILLIUM PAUL, SAME. OFISI ya Mkuu wa Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro imetoa vyeti vya pongezi kwa Taasisi ambazo zimefanya vizuri kwenye ukusanyaji wa Mapato Wilayani humo,. Taasisi hizo ni Mamla ya Mapato Tanzania (TRA), Wakala wa huduma za Misitu Tanzania (TFS) na Hifadhi ya Taifa ya Mkomazi. Moja ya Taasisi iliyofanya vizuri zaidi... Read More