Jambo la kustaajabisha limetokea katika kitongoji cha Dungi, Kijiji cha Kibosho Kindi, Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, baada ya Polisi kushindwa kufukua mwili unaodaiwa kuzikwa kimakosa katika eneo hilo, huku ndugu wakidai hawana taarifa hiyo. Mwili huo unaodaiwa kuwa wa Richard Shoo, aliyefariki dunia Juni 19, mwaka huu ulitakiwa kufukuliwa kwa ajili ya uchunguzi na... Read More