Na. Saidina Msangi, WF, Kisarawe, Pwani. Mkuu wa wilaya ya Kisarawe Mhe. Petro Magoti amewaasa watoa huduma za fedha wilayani humo kuhakikisha kuwa wamesajiliwa kwa kufuata sheria za Serikali ili waweze kutoa huduma za fedha wilayani humo. Mhe. Magoti ametoa rai hiyo alipokutana na Timu ya wataalamu kutoka Wizara ya Fedha waliofika wilayani hapo kutoa... Read More