Na Cathbert Kajuna – Kajunason/MMG. Kampuni ya Mati Super Brands Limited inayozalisha vinywaji changamshi yenye makao yake Makuu Mjini Babati Mkoani Manyara imepewa tuzo ya maalumu kutoka Chuo cha Ukamanda na Unadhimu (CSC) cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania kwa kutambua mchango wa kampuni hiyo katika kusaidia jamii inayowazunguka pamoja na kushirikiana na... Read More