Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kushiriki Maadhimisho ya kutimiza miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) tarehe 01 Septemba, 2024. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na... Read More